Kutokana na njaa njaa tulizonazo, na maadili kuporomoka leo inafika mahali hata kama mtu anajitoa kufanya lolote kwa nia njema jamii inatuhumu mambo mengine. Tumefika mahali pabaya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Moud bwana, wala sina tatizo nae.
Jana na leoCroatia
Jamaa hataki mchezo leo[emoji3] [emoji3] [emoji3]We jamaaa
Twende kule kumepoaNimechoka kula likeeeessss,midaaaa
Namcheki hapa nasema aendelee tu kujipenda,Jamaa hataki mchezo leo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]wema bila kungoja malipo..
YapJumatano ndiyo hivyo
Mpendwa salaamWapendwa wa Mungu
Ndio ubora wa jfKaburi hata kama limezikwa Sirari hapa linafukuliwa tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tumekumiss mkuuNimewakumbuka sana
HahahaWa England na Wa Croatia vitumbo moto
Si wazima, hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yetu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mnaendeleaje hapa ndani?
Hahahaha home sweet homeSawa Chief, ukifanikiwa tukumbuke pia.
Mkuu sio utani tukiwekeza kwa huyu Mzee nakuapia tutapiga hela believe me or notHahah!! Niweke na mimi kwenye jopo la washauri