Wenye kujua wamesha tajaMsukuma?
Gal Gadot ni mzuri mweeeh,
Tena atakuwa amemuona kwa nyuma
Nipo vizuri kiongozi. Habari ya majukumu? Watoto na mwenzako wanaendeleaje? Mungu ni mwema siku zinaenda kama zilivyo pangwaHahaha mkuu mzima wewe mambo yakoje lakini
Picha plzHUYU NDIYE MTANZANIA ALIYESHIRIKI UUNDWAJI WA NDEGE MPYA YA DREAMLINER: Mtanzania George Jonas ndiye Mhandisi wa umeme aliyekuwa na jukumu la kuangalia mfumo wa kiusalama wa umeme katika ndege mpya ya Dreamliner.
Anafanya kazi katika Makao Mkuu ya Kampuni ya Boeing Settle ,Washington, Marekani.
George Jonas ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya na ndiye aliyekuwa miongoni mwa maafisa wa kiufundi aliyehusika katika utengenezaji wa ndege hiyo yenye viti 262, kwa jina Boeing 787-8 Dreamline.
Mhandisi George ni mtoto wa mwanajeshi mstaafu, Labani Mwanjisya ambaye safari yake ya masomo ilianzia pale Shule ya msingi Ubungo na baadaye kuendelea na elimu ya Sekondari Azania na kisha alijiunga na elimu ya kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Ilboru ambapo alichukua masomo ya Fizikia, Chemia na Hisabati.
Mara baada ya kuhitimu masomo yake ya kidato cha sita alibahatika kupata fursa ya kwenda Marekani kwa masomo zaidi baada ya kundi moja la Wamarekani waliokuwa wakitafuta kijana wa Kitanzania mwenye maono kumchagua yeye.
Mwenyewe anasema, ilikuwa kama bahati kwake kwani kwa wakati huo wazazi wake hawakuwa na uwezo wa kumpeleka masomoni ughaibuni.
[emoji124] [emoji124] Mkuu wa kitengo cha biashara na matangazo... Hizi fursa zitatumaliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu shimba usibishe Mzee anatibu kabisa nielekeze mgonjwa wako mmoja nitalipa mimi atakupa majibu yeye
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Hivi kwenye kitchen party vile wanasemaga "ukimaliza kupika ugali mwanangu usisahau kuosha mwiko"*
[emoji848] hivi wanamaanisha mwiko au mwiko huu mwiko au mwiko!?
Ugumu uko wapi?...*Hakuna wateja wavumilivu duniani, kama wateja wa kondom, siku zote huwa wanasema "mhudumie huyo kwanza me ntasubiri"*[emoji23][emoji23]
Me too walahiAm happy, thank you.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] Mbona ya kukamuana "uji" haipo? Ndio maana sitaki kuzifuata fomyula za wazungu mimi
Leo nakuona tofauti sana au ni vile sijakuzoeaMe too walahi
KaribuNimewakumbuka sana
I guess so!Leo nakuona tofauti sana au ni vile sijakuzoea
EnglandCroatia