Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachezaji 13 kikosi cha Croatia wanacheza Kombe lao la Dunia kwa makala ya pili mfululizo ilhali 18 kati ya wanasoka 23 wa England wanashiriki Kombe hili kwa mara yao ya kwanza.
 
Hahahaha mkuu Leo Niko happy sana
 
Maajabu kikosi cha England
Mechi ya nusu fainali: Croatia V England
Ni wachezaji watatu pekee katika kikosi cha England kitakachoanza dhidi ya Coatia waliozaliwa mara ya mwisho England kufika nusu fainali Kombe la Dunia.

Ashley Young alikuwa na miaka 4, nao Kyle Walker na Jordan Henderson walikuwa watoto wachanga.

Haikuwa siku yao kwani England ilifungwa na Ujerumani Magharibi miaka 28 iliyopita wakifunzwa na marehemu Bobby Robson.

Kikosi kamili cha England: Pickford, Walker, Stones, Maguire, Trippier, Young, Henderson, Alli, Lingard, Sterling, Kane.
 
Croatia inacheza nusu fainali yake ya pili tangu 1998.

England inashiriki nusu fainali kwa mara ya tatu. Mnamo 1966 ilishinda dhidi ya Ureno, lakini 1990 ilifungwa na Ujerumani.

Harry Kane, Mfungaji bora wa Kombe la Dunia ndio tegemeo la Uingereza.

Croatia inatarajia beki Sime Vrsaljko na kipa wake Danijel Subasic watakuwa katika hali nzuri baada ya kuumia dhidi ya Ufrusi Robo fainali.
 
Waumini wa dhehebu la SILOAM waungana na kukutana pamoja katika eneo la mlima Mbalizi-Mbeya kwa lengo la kusali na kutakasa eneo hilo.
Hii ni baada ya kutokea kwa ajali mara kwa mara katika eneo hilo.

Twakuomba eeeh Mungu uyasikie maombi haya.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Shirikisho la soka FA limepigwa faini pauni elfu 50 kwa soksi za Dele Alli, Eric Dier na Raheem Sterling.

Watatu hao walivaa nyonginyo zilizokatazwa na kukiuka sheria za FIFA za matangazo ya kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…