Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Breaking new*

*Kama mtaani kwenu mambo yamekuwa tait , usikimbilie mtaani kwetu kwani huku yamekuwa dera kabisa** [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana nilipeleka viatu kwa fundi sasa hivi nimekutana nae amevivaa namuuliza ananiambia eti ni ROAD TEST" [emoji23][emoji23][emoji16]
 
*wadada wengi hawapokei video call ikifika saa 3 usiku.. [emoji3][emoji3]unajua kwa nini? Sura zao zinakuwa zimerudi kwenye factory setting.*
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mashabiki wa Croatia walisherehekea usiku kucha baada ya taifa lao kuwaondoa England kutoka kwa michuano ya Kombe la Dunia Urusi na kufuzu kwa fainali kwa mara yao ya kwanza kabisa, England waliomboleza.
 
Mashabiki walijaza uwanja ulio katikati mwa mji mkuu wa Croatia wa Zagreb wakiimba na kupeperusha bendera za taifa hilo. Baadhi walijitumbukiza hadi kwenye chemchemi za maji zinazopamba uwanja huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…