Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mohamed Salah

Staa huyo wa kimataifa wa Misri naye alisaini mkataba mrefu katika klabu yake ya Liverpool. Mohamed Salah ni moja ya wachezaji ambao Real Madrid inawatazama kwa macho ya matamanio wakiwapigia hesabu za kuja Bernabeu kumaliza wasiwasi utakaoibuka kutokana na kuondokewa na Ronaldo kwenye kikosi. Fainali za Kombe la Dunia huko Russia hazikuwa vizuri sana kwa Salah kwa sababu alikuwa majeruhi baada ya kuumizwa na Sergio Ramos kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu uliopita.
Washindwe[emoji16] [emoji16]
 
Back
Top Bottom