Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka huu, nyota ya mwamuzi huyu, imeendelea kuwaka baada ya kukabidhiwa majukumu mazito ya kutupatia bingwa wa Dunia, akiweka rekodi ya kuwa Muargentina wa pili kuchezesha mechi ya fainali baada ya Horacio Elizondo, aliyechezesha mechi ya fainali ya Kombe la Dunia 2006, kati ya Brazil na Ujerumani.
 
Shimba Shimba Shimba aaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…