Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nasikia hicho kishanga wanachovalishwa watt wa kike wakiwa bado wadogo et kazi yake ni kutengeneza kiuno,, yaani awe na kiuno nyigu,,, aisiwe kama gunia,,,

Ni kweli mwalimu?
Baadhi ya makabila ndio...huwavalisha hicho kishanga ili kutengeneza kiuno, ili kiuno, kalio na mgongo visiungane (hapa nahisi wanielewa,- kuna watu ukiwaangalia hujui kiuno kimeishia wapi, kalio vile vile mgongo, duara si duara, hexagon si hexagon)...

Kingekuwa kimefungwa kifundo cha kinguo tungesema ni ulinzi kwa afya ya mtoto. Mara nyingi hutumia kaniki (kitambaa cheusi).
Ndagu.
Surua ni mojawapo ya ugonjwa unaozuiwa kwa njia hiyo (hata mtoto ajichanganye na wenzie namna gani hawezi ambukizwa).
 

Le Prof una utilio balaa, wa Kibantu na wa Kimagharibi! Nakata rufaa uniweke Kwa darasa lako, hata bila maua nitahudhuria! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wew mzee wew,,umekuja na mambo yako sio,,
Vipi kwema lakini huko?
Biashara ya parachichi vp
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejishtukia mwenyewe...
Kwema, vipi wewe?
Biashara ni ngumu sana,yangu wateja hawataki,wanahofu kusinyaa mapema sijui wananihukumu kwa umri ?!!! Ila sijakata tamaa,bado natembeza...Inshaallah[emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaha! Huo uchambuzi umeenda shule kabisa...Wanajutia muda walokuwa wakiutumia kukata viuno mitaani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…