Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tupo likizo....Subiri shule ikifunguliwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watembeza nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejishtukia mwenyewe...
Kwema, vipi wewe?
Biashara ni ngumu sana,yangu wateja hawataki,wanahofu kusinyaa mapema sijui wananihukumu kwa umri ?!!! Ila sijakata tamaa,bado natembeza...Inshaallah[emoji23] [emoji23]
Acha niondoke na mzigo wangu....endeleeni sasaLe Prof una utilio balaa, wa Kibantu na wa Kimagharibi! Nakata rufaa uniweke Kwa darasa lako, hata bila maua nitahudhuria! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Shukrani mwalimu!!Baadhi ya makabila ndio...huwavalisha hicho kishanga ili kutengeneza kiuno, ili kiuno, kalio na mgongo visiungane (hapa nahisi wanielewa,- kuna watu ukiwaangalia hujui kiuno kimeishia wapi, kalio vile vile mgongo, duara si duara, hexagon si hexagon)...
Kingekuwa kimefungwa kifundo cha kinguo tungesema ni ulinzi kwa afya ya mtoto. Mara nyingi hutumia kaniki (kitambaa cheusi).
Ndagu.
Surua ni mojawapo ya ugonjwa unaozuiwa kwa njia hiyo (hata mtoto ajichanganye na wenzie namna gani hawezi ambukizwa).
Ili tupate mahitaji muhimu ikiwepo na pus...Mkuu, kwani tunatafuta hela ili tuzifanyie nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise,, na huu ndio ukweli wenyewe japo baadhi ya wazaz hawataki kukubaliana na hlUkiziangalia hizo sura zao utajua tu
1.timu Mobeto 20
2.timu Wema 11
3.timu Zari. 83
4.timu Suluhu 25
5.timu JPM 1
Kwa maana nyingine,1 mpaka 3 ni washinda instagram na ndo wachambaji wakubwa huko... 4 na 5 Mungu aendelee kuwapigania maana wana malengo na nchi yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro join darasa bhana,, mm tyl nlshachukua form[emoji124] [emoji124]Le Prof una utilio balaa, wa Kibantu na wa Kimagharibi! Nakata rufaa uniweke Kwa darasa lako, hata bila maua nitahudhuria! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23][emoji23][emoji23] kijana anajua huo mchezo unahusu mkuyeye tu, short cut hawezi lazima azimeBro kuna kuzidiwa. Kila ukijaribu kujitutumua unakuta jimama limekaba. Kama hujui jinsi ya kupita short cut ili kulidodesha haraka matokeo yake ndo haya sasa....Zero experience
Acha niondoke na mzigo wangu....endeleeni sasaView attachment 808771
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kusinyaa tena,,[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejishtukia mwenyewe...
Kwema, vipi wewe?
Biashara ni ngumu sana,yangu wateja hawataki,wanahofu kusinyaa mapema sijui wananihukumu kwa umri ?!!! Ila sijakata tamaa,bado natembeza...Inshaallah[emoji23] [emoji23]