Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sikuwa najua kama huyu jamaa ndio role model wao,, ngoja ntajarbu kupita pita na sehem zngne npate pate mambo yake
Mimi nina vitabu kabisa. Nikipata soft copy nitakushtua. Nina hard copy hapa ya Century of Slaughter kina maserial killers wote.

Ted Bundy anavutia kwa sababu alikuwa smart sana tena mwenye bashasha mpaka mabinti wengine walikuwa wakimzindua kabisa kwa kumpeleka kwa wazazi wao kumtambulisha utafikiri Davet kumbe ndo anaenda kuwaua...Wanasaikolojia walimfanyia intavyuu nyingi sana kutaka kujua hasa maserial killers wanavyofikiri na hata kuendesha mambo yao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…