myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila sio yale ya kutemeana uson kisa muombeaji ananena kilugha
Yegooooooo geti rediii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unajaribu kumurushia Mnyamwezi mzigo mzito, carba siyo Mnyamwezi ujue; Ooh! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], konda nina 200 nakwenda Makumbusho...
Kondakta: Hiyo 200 nunua parachichi uteleze nalo mpaka Makumbusho[emoji23][emoji23][emoji23]
Sub andjul,jirani,kk wacha mtu unazima bila matumain ya kuzinduka,nyasi zote zinajifyeka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kolabo nyingine sio unajikuta unapata severe dehydration
Hahahaha mpe matokeo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo utaumia
DuRais wa zamani wa Marekani Barack Obama amepoteza wafuasi milioni 2 kwenye mtandao wa Twitter kufuatia kampuni hio kufanya kampeni ya kuondoa watumiaji bandia (bots). Kampeni ya kuondoa watumiaji bandia wa mtandao wa Twitter inatajwa kuathiri watu wengi mashuhuri Duniani.
Hahahaha matokeo please numbi[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata ile siku france vs belgium niliambiwa hivyo ujueee
Aaah mie nakutegemea wewe uwe mzinduaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mimi NAKAZIA mzindue tu
HahahahaAngekuwa kalibu yangu ningempa bonge la kofiiiView attachment 809020
England 4 vs Belgium 0 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha matokeo please numbi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila sio yale ya kutemeana uson kisa muombeaji ananena kilugha
Hapana Mimi team Belgium tangu kuanza kwa mashindanohahahaha, upo England leo?
Kweli mkuuYa kesho anajua MunguView attachment 809027
Majibu yameshatokaMimi nshakwambia bana.
Mechi iliyopita mlijifanya eti mmeacha Belgium ishinde ili msikutane na Brazil....
Leo sijui mtasemaje
Team CroatiaAaah huko sikua shabiki wa england, nilikua portugal na spain,nikahamia france,sasa leo sina timu so nimehamia EPL kwa muda. Kesho na France kama kawa