mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahaKaweni na siku njema wapendwa. Neema ya Mungu na ikaendelee kutufunika. Tukawasamehe waliotukosea. Tukawasaidie wagonjwa, mayatima na wenye uhitaji huku tukitambua kuwa ukuu na furaha yetu halisi; na hata maana halisi ya maisha yetu hapa duniani vimo katika kuwasaidia wengine na kueneza upendo. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]