Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Zumbukuku si ndiyo alisema kuwa negotiations haziendi vizuri kwa sababu mama hakufuata ushauri wake. Ushauri wenyewe kumbe ilikuwa ni ku-sue. Mama imebidi afunguke ili kutuliza mambo.
Hahahaha[emoji15] View attachment 809838
[emoji16] [emoji16] [emoji16] na huvunjwa na mwanamkeMahusiano huanzishwa na mwanaume, hudumishwa na mwanaume, hukuzwa na mwanaume ila hulindwa na mwanamke.
Kombe la Dunia2018: Nani atakayewika kati ya Ufaransa na Croatia?
Wana ari kubwa...Thubutuu[emoji16] [emoji16] Wafrika wa ulaya hawatakubali kufanya hilo kosa[emoji16] [emoji16] Croatia wamejitahidi, lakini walipofika panawatosha masuala ya kombe wasifikirie hilo[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kila la kheri Croatia ila wana kazi pevu mbele yao, mwamuzi ni dk 90Croatia itakwaruzana na Ufaransa uwanja wa Luzhniki Moscow Jumapili ikilenga kushinda taji kwa mara yake ya kwanza nao wapinzani wake Croatia wakishiriki fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya tatu.
Kweli[emoji23][emoji23]Alosto ya uzi huu haijamwacha mtu salama[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kuna mwenzie nae yupo nae uelekeo mmoja.Wengine waangalia huku, yeye aangalia kule...
View attachment 809794
Sio kweli[emoji16] [emoji16] [emoji16] na huvunjwa na mwanamke