Ni kijana wetu na jina lake laonyesha ni mluguru wa Morogoro [emoji16] [emoji16] [emoji16]1. Steve Mandanda, 33 (DR Congo)
"Afrika muye muye"[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ni mlinda lango ambaye huchezea klabu ya Marseille ya Ufaransa. Alizaliwa mnamo 28 Machi 1985 mjini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wakati huo ikiitwa Zaire na jina lake kamili ni Steve Mandanda Mpidi. Ana ndugu watatu wadogo wote ambao ni walinda lango, na wawili kati yao hucheza soka ya kulipwa.
Uamuzi wake hauna tatizo, kwakuwa bado mkongomanMandanda huishi Marseille na amepewa jina la utani 'Frenchie' na jamaa zake kutokana na uamuzi wake wa kuamua kuichezea Ufaransa badala ya DR Congo.
Siyo tatizo piaAmekuwa kipa wa akiba kwa sasa nyuma ya Hugo Lloris katika timu ya taifa.
Tulivyokuwa skuli nafasi hiyo tuliikataa kwa kuwa una kuwa kama mtamaji badala ya kucheza[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mandanda aliamua kuwa mlinda lango kibahati akiwa na miaka tisa. Kocha wake wa zamani katika timu ya vijana Evreux anasema wakati mmoja alikuwa anatembea wachezaji wengine wakifanya mazoezi. „Nilimuona akinitazama kwa macho makubwa, na akaniambia: 'iwapo nitacheza kandanda, basi ninataka kuwa mlinda lango kwa sababu (ukiwa kipa) hauhitajiki kukimbia!"
Sawa, hayo ndiyo maisha hali si ya AfrikaNdiye mkubwa katika familia ya watoto watano wa kiume na alikuwa akiwatunza utotoni wazazi wao walipoenda kutafuta kazi.
AseeeAliwahi kuichezea Crystal Palace ambapo alitatizika sana alipojaribu kuihama klabu hiyo.
mie mzima wa afySi wazima hofu kwako
Jina lake ni zuri sana, ni katika majina halisi ya kiafrka2. Presnel Kimpembe, 22 (DR Congo na Haiti)
SawaHuyu ni beki wa Paris Saint-Germain ya Ufaransa.
Safi sanaNi mchezaji anayejiamini sana na hilo hujidhihirisha ndani na nje ya uwanja.