Juice ya zabibu haichafui[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Bongo movie bhna,,, damu hata hsichafui nguoView attachment 811561
AminRest In Peace Mtaalamu!!!
Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] View attachment 811565
tumuombee dogo asifanane mambo yaleeeee ya dadiiiii🙄😛😛Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji3] [emoji3]Walahi ndugu yangu!
Wafe tu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Walikuwa /Wamekufanyia nn ISIS
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ebhana harakati sana tu,, Tunamshukuru Mungu,,, tunapambana
Yule mtoto wa kike huwa anakuambia anakupenda sana?
Habari mkuu, jiwe la kujengea au kusagia nafaka?[emoji3] [emoji3]Jiwe
Mambo vp Myoya
Mkuu unaonekana umiumizwa na hiyo kauli, maana ndiyo umekuwa ujumbe wako muhimu wa leoHahaha kuwa makini na hiyo kauli.
Nzuri mkuu....hapa ni jiwe kama jiwe [emoji3] [emoji3] sio la kusagia wala kujengeaHabari mkuu, jiwe la kujengea au kusagia nafaka?[emoji3] [emoji3]
Kinacho fanyika ni anajaribu kutaka kutengeneza donda kwenye moyo wako, ukimuamini tu na kuhisi Kama alivyo taka yeyeKwa nini bro?
Kabisa hakuna hakiHuyu jamaa walimuua hivi hivi tu. Duniani hapa hakuna haki aisee
Hahaha shule za Afrika bhana