mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Lete mambo tujueFainali za kombe la Dunia tulizosubiri kwa miaka minne tangu 2014 kule Brazili zimeisha, zifutazo ni record mbali mbali unazostaili kuzijua kabla ya fainali zijazo nchini Qatar miaka minne ijayo