mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Lete mambo tujueFainali za kombe la Dunia tulizosubiri kwa miaka minne tangu 2014 kule Brazili zimeisha, zifutazo ni record mbali mbali unazostaili kuzijua kabla ya fainali zijazo nchini Qatar miaka minne ijayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] morning mkuuSi ajabu hata jembe halijui linafananaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Morning Numbi
Team Spain kama kawaida yaoMchezo kutandaza pasi au kama unavyoitwa huku mtaani kuwa ni soka la kitabuni ni aina ya mchezo unaovutia watazamaji, fainali za Russia zilikuwa na mvuto hasa kutokana pasi nyingi zilizopigwa,na hivyo Dunia kushuhudia jumla pasi sahihi, 49,651, England ikiongoza kwa kupiga pasi zenye macho 3,336. Kwa upande wa wachezaji rekodi imemwendea Sergio Ramos wa Hispania aliyepasia jumla ya pasi sahihi 485. Na mechi moja tu ya Russia na Spain ilishuhudia pasi tamu 1235 zikipigwa hapo
AnastahiliFIFA WORLD CUP 2018 RUSSIA.
Mchezaji bora ni. Luca Modric - Croatia
Ni simple tu weka post na kulike post za wenzakoNataka zakuzidi adi zimwagike[emoji3][emoji16]
Morning18:19
TupoMko wapi siwaoni ?
Bhangi mbaya sana
Sio photo shop kweliMchezo ya hatari View attachment 811938
Aisee nilikuwa sijaelewaKila mmoja anawindaView attachment 811939
The one and only
Safi sanaWachezaji wa timu ya Croatia wamepokewa kishujaa nchini mwao baada ya kuibuka mshindi wa pili kwenye fainali za Kombe la Dunia zilizohitimishwa juzi Jumapili kwa mchezo wao dhidi ya Ufaransa ulioisha kwa kufungwa mabao 4-2.
Mapokezi mazito waliyoyapata wachezaji wa timu hiyo utadhani timu hiyo haikufungwa kwenye mchezo wake wa fainali, jambo ambalo limewapa moyo wachezaji hao licha ya kupoteza mchezo huo.
YapMashabiki waliotanda kwenye mitaa mbalimbali, waliilaki timu hiyo huku ikiongozwa na pikipiki za polisi kwa takribani saa tano.
Mashabiki wa timu hiyo walisema kwao ni faraja kuipokea timu hiyo na hakika wanajiona ni mabingwa.
Walifungwa na united AfrikaMashabiki waliotanda kwenye mitaa mbalimbali, waliilaki timu hiyo huku ikiongozwa na pikipiki za polisi kwa takribani saa tano.
Mashabiki wa timu hiyo walisema kwao ni faraja kuipokea timu hiyo na hakika wanajiona ni mabingwa.
Jaribu si uji tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Anakula watoto na anajisifu ana iq kubwa
Daaah!!
Hivi unaanzaje meza ule uji??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uuwiiii
Morning Chief, umeamkaje.?Morning mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wenzio bila kunywa uji wanaona hawajafanya lolote[emoji23]..