Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Waandishi wapo wengi tu. Shida ni wasomaji wa kazi zao. Vitu hivi huenda pamoja.
Hata hivyo waandishi wa miaka hii nao hawataki kuumiza vichwa ni watu wa kulipua kazi tofauti na nguli wa nyuma akina Agoro Anduru, John Rutayisingwa, Edie Ganzel, Said Bawji, Hammie Rajab, Hassan Katalambulla na wakongwe wengine
 
Msichana ni nani?
Msichana ni yule dem anaeza kutoroka kwao saa sita usiku na aende kwa sponsor...
But haezi enda chooni peke yake saa mbili usiku juu kuna giza. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Hakika huyo ni bonge la sistar du[emoji3] [emoji3] [emoji3].
 
SHIMBA, Andjul, Hochminh njoooni mrembo kaingia huta jua kama ana mtoto.
Wanafunzi wa miaka hii ni shida sana. Yani mwanafunzi una mke wakati mi kakaako sijaoa, looooh, hasara hiyo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu kwani ukiitwa ndio umevunjiwa heshima
Umememvunjia heshima sana, yani aje aone mimba wakati mahari yenyewe hujalipa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…