nikikukuta haupo!Ukinikuta sipo usinitafute!
Hahahahaha kwahiyo wewe umetamka tu?Najua basi! Ngoja wataalamu watakujuza
Mpenzi haya maneno si yameandikwa kwenye kanga[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nimecheka kweli
Maneno ya zamani hayoLinenwalo lipo, kama halipo lipo!!!
Teh teh teh teh!Najua ni wakati tu na ilikuwa lazima waliopita wasafishe njia malkia nije kutulia kwako mfalme wa moyo wangu
Nyaku nyakuMbna mshangao heavy??
Subiri akukute[emoji23] [emoji23]Aisee , ndio nmemskia kwako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ananilipia kodi mwezi huu nitake nini tenaBado hujapata
Amen, tusameheane tulipokwazana. Usiku mwema Mkuu ila najua nimepoteza likes kadhaa kutoka kwako.Jamani naomba niage, kwa mapenzi ya Mungu naomba yakatimie yale yote yaliyo mema. Tusameheane tulipo kwazana. Mungu atukutanishe tena kesho tukiwa na afya njema. Usiku mwema wote
Acha nife lakini binti wa watu aokoleweMchina huu mwaka utakufa kwa vivu
My queen ndio maana nakupendaNajua ni wakati tu na ilikuwa lazima waliopita wasafishe njia malkia nije kutulia kwako mfalme wa moyo wangu
Ohoo1! Ndio amechukua pale Nini ??[emoji22] [emoji22] [emoji22]Subiri akukute[emoji23] [emoji23]
Na kwako piaJamani naomba niage, kwa mapenzi ya Mungu naomba yakatimie yale yote yaliyo mema. Tusameheane tulipo kwazana. Mungu atukutanishe tena kesho tukiwa na afya njema. Usiku mwema wote
Aiseeh,nashukuru kwa upendo AleynNakupenda
Na wala hayaumiziMpenzi haya maneno si yameandikwa kwenye kanga
NdioOhoo1! Ndio amechukua pale Nini ??[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Wewe kweli kichwa kichafu, wanakupendea nini hawa mabiti humu ndani?My queen ndio maana nakupenda