[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au nimekosea ni baba [emoji23][emoji23][emoji23]Kaka?!!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] lesista naona kama kuna haja...
Habari ya siku nyingi mama
Mkuu kwema?Pesa mingi sana kwa ajili ya GK
Hizi habari zilizagaa Jana kwenye media lakini zikiwepo za kukanushaAsee kumbe nguli huyu ametangulia mbele yaki. RIP
Amina*Tumsifu Yesu Kristu*
*Ikiwa Leo ni siku ya Ijumaa ni siku ya Moyo Mtakatifu wa Yesu.* *Upendo wa Kristu kwetu hauna mipaka wala mwisho, Upendo wa Mwanadamu ni wa masharti na una mwisho wake.*
*Kristu alitupenda upeo, hata akaitoa nafsi yake kufa Msalabani kwa ajili yetu sisi.*
*Leo hii tumekuwa ni watu wa kulipishana visasi, Mmoja akimwaga ugali mwingine anamwaga mboga.* *Maisha yetu ya leo yamejaa Usaliti mtupu, Uwongo umetawala vinywa vyetu ,kila kuchao siku hizi kilichobaki ni kuumizana, kunyoosheana vidole na kulaumiana.*
*Hayo yote yanaujeruhi Moyo Mtakatifu wa Yesu. Ishi na kila mtu vizuri, wapende watu wote, ishi kwa roho ya Msamaha, wasamehe bure wale watu wote waliokukosea , utawabeba mpaka lini. Utaumia mpaka lini!*
*Ee Yesu tunakuomba Damu na Maji yako visipotee bure bali vitupatie uzima wa Milele.*
*Moyo Mtakatifu wa Yesu Utuhurumie.*
*Moyo Mtakatifu wa Yesu ufalme wako ufike*
Unackia unaonakuna like huku nackia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi mbegu zisije zikaadimika hizi ohoo [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 814031
Yop scum newsHabari sio ya kweli,mr bean mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Carba inaoneka wewe kimodoNdo raha ya kukuwa vimbaumbau kakiti kadogo hako mnalala wawili fresh tu na mbanano[emoji124][emoji124][emoji124]
Aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari sana*BORA UKOSE FEDHA UTAKOPA HATA BENKI*[emoji548]
*KULIKO UKOSE NGUVU ZA KIUME, UTAMWAZIMA NANI
*WAKATI KILA MTU ANAKAZI NAZOO* [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amen [emoji120] [emoji120]
[emoji124] [emoji124]ahsante Mungu kiumbe wako ameanza kurudi kwenye mstari sahihi...
Bai bai[emoji112] [emoji112] misambwanda na "mibofulo"
Poa kabisa mkuuHabari za weekend wakuu
Mungu ni mwema. Nipo vizuri kabisa. Ulikuwa kwenye paper? Ni muda sijakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au nimekosea ni baba [emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri baba za kwako?
Kabisa umejuaje[emoji3] [emoji3] [emoji3] baadaye uchawi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaHaujui Ijumaa ndio anakuwa na homework nyingi... Yupo darasani anacopy
Kwema kabisa mkuu habari za wapi mkuu maana una makazi mengi[emoji23]Mkuu kwema?