Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kamwendo ka kutoka Kurasini-Roma hadi Chang'ombe-sigara. Na kijua cha pale uwanja wa Taifa
 
Wengi tunafahamu kuwa pilipili hoho ni kiungo cha mboga katika mapishi mbalimbali, lakini hatufahamu kama ni miongoni mwa mboga yenye vitamin nyingi, achilia mbali uwezo wa kuboresha mifumo ya mwili. Pilipili rangi ya njano ndio mboga pekee yenye zeaxanthin kwa wingi kuliko mboga yeyote ikifuatiwa na Mahindi inayoshika nafasi ya pili.
 
Mbali na kuwa kiungo kutumika katika mboga ua kachumbari na wakati mwingine hutumika kama saladi, Hoho kutumika kwa kutengeneza juice ambayo husaidia kutoa taka mwili. Hoho hupatikana katika muonekano wa rangi tofauti ambazo ni rangi nyekundu, kijani, urujuani na njano na zinatajwa kuwa mboga yenye vitamin zaidi ya 30. Miongoni mwa faida zilizopo katika hoho ni kwamba hutibu kuwasho wa koo na vidonda vilivyopo kooni,
 
hutibu watu wanaotoka damu puani na huimarisha kinga ya mwili kutokana na wingi wa vitamibi C iliyopo ndani ya kiubgo hicho ambacho hupigana dhidi ya magonjwa na kujenga kinga imara. Hoho husaidia watu wenye shida katika mfumo wa upumuaji kutokana na kuwa na vitamin C nyingi, hukinga dhidi ya magonjwa ya kansa ya kibofu cha mkojo na ugonjwa wa baridi yabisi.
 
Christmas budget of a Slay Queen in Kenya.
1. Peruvian hair= 50,000
2. Shoes= 75,000
3. Clothes= 63,000
4. Inner wears= 10,000
5. Phone= iPhone 8
6. Makeup= 15,000
7. Fixing of cateyes= 12,000
8.watch = 10,000
9.jewelries= 16,000
10. Pocket money= 55,000
11. Human hair= 20,000
Total= KES 326,000
.
.
Source of Money
1. Peter womanizer= 30,000
2. Owino fundi= 15,000
3. Kiarie big head= 25,000
4. Kareithi mouth odour= 10,000
5. Vincent married man= 40,000
6. Paul big belle= 15,000
7. James driver = 10,000
8. Boy friend= 5,000
9. Mumu 5= 30,000
10. Ebuka Facebook= 10,000
11. Emma church= 15,000
12. Michel neigbhour= 10,000
13. Philip course mate= 3000
14. Pastor Eldoret= iphone 8
15. David village = 20,000
16. Jeff Facebook= 10,000
17. Frank Msa= 15,000
18. Donalex Facebook= 15,000
19. Wafula hard face=10,000
20. Mutua stingy man= 4500
21. Paul k leg= 20,000
Hustling starts December 1st.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…