Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Husaidia kupunguza uzito , kuboresha mzunguko wa damu na kupunguza kolesto mwilini kwa sababu ina kiwango kidogo cha kalori na pia huzuia shinikizo la damu na kutibu anemia. Hutibu kuhara, ugonjwa wa homa ya manjano, hurekebisha presha ya kupanda na husaidia katika mmengenyo wa chakula kufanyika vizuri. Kwa wale wanaosumbuliwa na gesi tumboni wanashauriwa kutengeneza juisi ya pilipili hoho wakichanganya na juisi ya spinachi.
 
Pilipili hoho rangi ya njano ikitumika vizuri katika mapishi ni mboga yenye faida nyingi kiafya achilia mbali ladha ya kipekee, ina uwezo mkubwa ya kuboresha mifumo mbalimbali mwilini na ndio mboga pekee yenye zeaxanthin kwa wingi kuliko mboga yeyote ikifuatiwa na Mahindi inayoshika nafasi ya pili.
 
Hata hivyo, wataalamu wa masuala ya afya wanasema hoho rangi ya njano ni chanzo kizuri cha virutubisho aina ya lutein na zeaxanthin ambazo huzuia matatizo ya mtoto wa jicho na udhaifu wa misuli. Pilipili hoho rangi nyekundu (red pepper) inabaki kuwa mojawapo ya vyakula vichache vyenye kirutubisho cha lycopene ambacho hupunguza hatari ya saratani mbalimbali.
 
Kuna siku alijiapiza kuwa kamwe hajawahi kuogopa kimdabuo. Ai lavu mai rolo modo [emoji7][emoji7][emoji7]
Niliiona mkuu... Kuna muda sijui anakuwa Arusha?!!! Anazipurua zote kichwani, kifuatacho sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hawa yuuu ankoo [emoji112] [emoji112] [emoji112] longu laivu Numbisa
 
Woyooooo mambo wuuuuuuuuuu

Kutua tiiiiiiii acha kabisa dada mtu anafaidi
 
Niliiona mkuu... Kuna muda sijui anakuwa Arusha?!!! Anazipurua zote kichwani, kifuatacho sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hawa yuuu ankoo [emoji112] [emoji112] [emoji112] longu laivu Numbisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee

Am fain anko,long laivu uzi wa likes na memba wake woooteeee.

Mambo ni full kama uniq hapa
 
Kulala[emoji124][emoji124][emoji124]
Kucheleweshana tu.
Kuna shida gani kuniambia tu "mpenzi,leo konokono hashikiki kirahisi, anatakiwa akaushwe",yaani hapo kakonyagi/k vant kanamiminwa kuhamasisha misuli itutumuke, ipate moto kwa ajili ya kumkausha konokono.
Mnatuchosha na mbwembwe zenu... "Tukubhombagha jijijho"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…