Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Pamoja mkuu.Kichwa kichafu yupo vyema sana
Pole sana. Sasa?Nilipotea tu Shimba [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nani anakununulia nyumba? Asiwe kichwa kichafu tuMwenzio nanunuliwa nyumba huko nikihamia nitakupa mualiko
Shangaa wewe ndo maana my sweet akaamua kupanda bodaboda ya peke yake alichoka mshikakiKwani huyu binti ana wangapi? Mbona mmejazana hivyo?
HahahahaPamoja mkuu.
Kabisa mkuuPqmoja mkuu.
Sambaza likes kwa wanauzi kuonesha fadhira zako
Za hela Aleyn[emoji23] [emoji23]Una stress za nini honey?
Mkuu salamaKichwa kichafu anazidi kuwanasa tu warembo wa humu ndani, sijui kawapa nini
Sipotei tenaPole sana. Sasa?
Usingizi umekataNaona ISIS umerudi
Umeona eenh? Binti baada ya kwenda Posta kaenda kibiti.Nasema tena. You are always calm, collected, wise and jovial. Hata nashangaa ilikuwaje binti makini kama wewe ukaangukia mikononi mwa Kichwa Kichafu. You deserve a decent man who can match your intellect and sense of maturity. Dah !!!
Unafikiri kuna mtu zaid ya kichwa hapo??Nani anakununulia nyumba? Asiwe kichwa kichafu tu
Ila mimi pekee ndie ntakupata sweetieHawanipati ng'o