Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wapi huko nitie mguu nikatesti zali kama kunatestika?
Mwisho wake huwa mbaya,kuna jamaa wadada wa humu walizoea kumbully sana,kila mwanamke wanasingizia alitembea nae mwisho wa siku akaanza waaibisha ndo hii sasa inatokea kutaka kumkimbiza P JF kwa kisa kidogo tu si fresh kabisaKule kuna harufu ya moshi tangu uzi unaanza na hii vita haijaanza leo ni ya mda kidogo.
Ni vizuri wasafiri wa chombo kimoja tuwe na lugha moja.. Kama ni uji iwe uji kama ni mtokoto wa injini iwe mtokoto wa injini.
Capital, asikutishe huyu.....huaribiki akili wala nini, utaona...Nitakupa mwongozo[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Duh jamaa kaweka na murder kesi kabisaJamaa katumia Google translator kuchafua hali ya hewa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 815267
Niliuona mapema sana, ukiwa na wachangiaji wachache, wala sikuufungua sijui hata wahusu nini....Naona kauli yao tu sijui mapugiKuna uzi mmoja hivi sio hadhi yako kabisa ipo hapo juu chit chat maana hata kinachoongelewa hauta elewa
Haya maugomvi ya watu humu ni kusoma na kupita tu maana maugomvi mengi huanzia pm huko,kukichafuka ndo utaona nyuzi za masimango na malalamiko.Mwisho wake huwa mbaya,kuna jamaa wadada wa humu walizoea kumbully sana,kila mwanamke wanasingizia alitembea nae mwisho wa siku akaanza waaibisha ndo hii sasa inatokea kutaka kumkimbiza P JF kwa kisa kidogo tu si fresh kabisa
Huyu alianza kuhangaika tangu jana..[emoji23][emoji38][emoji23]..kajianzishia uzi wa kuomba wadau wamwambie anawakosha vipi hapa JF...Ntambo kweli kweli.
Mama huko nambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]kuna nyumba inachomeka moto huko baki hapahapa tuNiliuona mapema sana, ukiwa na wachangiaji wachache, wala sikuufungua sijui hata wahusu nini....Naona kauli yao tu sijui mapugi
Mie nyumba za hivo huwa sizisogelei.Mama huko nambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]kuna nyumba inachomeka moto huko baki hapahapa tu
Huyu alianza kuhangaika tangu jana..[emoji23][emoji38][emoji23]..kajianzishia uzi wa kuomba wadau wamwambie anawakosha vipi hapa JF...Ntambo kweli kweli.
[emoji38]Anahangaika(in andjul's voice?[emoji23][emoji23]
Mie nyumba za hivo huwa sizisogelei.
Nimeenda huko sijaelewa halafu uzi uko page ya 200 huko. Umenishinda. Mi nitabakia tu hapa nikichoka naenda zangu kulala...Mwisho wake huwa mbaya,kuna jamaa wadada wa humu walizoea kumbully sana,kila mwanamke wanasingizia alitembea nae mwisho wa siku akaanza waaibisha ndo hii sasa inatokea kutaka kumkimbiza P JF kwa kisa kidogo tu si fresh kabisa