Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni vizuri wasafiri wa chombo kimoja tuwe na lugha moja.. Kama ni uji iwe uji kama ni mtokoto wa injini iwe mtokoto wa injini.
Capital, asikutishe huyu.....huaribiki akili wala nini, utaona...Nitakupa mwongozo[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Asante Pyaar looks like she likes me, she cares abt me. Which is good.!
 
Honestly nyuzi nyingi za kuwapondea wadada wa humu huwa zina ukweli mkubwa sana sema tu ndo vile hatupend kuambiwa ukweli.(SOMO KUBWA PM kuna ubuyu mtamu na mchungu ni muhusika kuamua kula chungu au mtamu na maisha yanaendelea) Wachache sana wanaojielewa na wanajiweka smart ila wengine duh kuku wa kienyeji hata jogoo wa mtaa wa saba anapanda atakavyo.
Ngoja nijilie likes zangu hapa maana pugi halisi(tununu)kakalishwa huko hana hata kiki ya kutokeahadi team wema wamemgeuka,mjini raha.
 
Yegomasika njoo nikuone basi nikalale mimi[emoji12][emoji12]
Awww, bebiake nimekuja mbio! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]... Naona mnatafuna ubuyu tu humu!
Hiiiiiiii in iceman voice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…