mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sunday
Karibu sanaHabari ya jioni majirani,poleni na mihangaiko ya siku
Nmepita kuwasalimia
Asante,Karibu sana
Aisee kweli lakini nakuona kama kimbaumbauHapana,mimi ni kibonge bhana[emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeshamaliza kasheshe zako na wanaume?
May God the Almighty bless us all [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kisima cha burudaniHaaa haaa haaa JF bana
Unapiga miguu yote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya maisha wee acha tu
HakikaKwema ndugu yangu.
Time is a best Healer!
AminaHasa ukiwa unamtegemea Mungu. Life must go on, isn't it? Be blessed [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
HahhaahahaUlafi tu. Kuuma huku na huku...
View attachment 814202
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*WAHEHE HUMU MSIJIFANYE HAMJASIKIA TANGAZO LA KANGI LUGOLA, MBWA BADO HAJAPATIKANA, NAONA MMEJIFANYA MKO BUSY*[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wanasiasa bhanaWatamkosesha kazi IGP hivi hivi hawa...