mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Morning jakitooBora uhai
Morning jakitooBora uhai
Safi sanaSTAA mpya wa Liverpool, Fabinho amefichua kwamba amekuwa akimshawishi chinichini staa wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe ili atue huko Anfield wapige kazi.
Fabinho amehama Monaco kwenda kujiunga na wakali hao wa Merseyside kwa ada ya Pauni 40 milioni mapema kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi ikiwa ni sehemu ya moto wa Liverpool katika kunasa mastaa wa maana ambapo hadi sasa
Kumkosa fekir kosa kubwa sanaUsajili wake unaweza kuwa wa mwisho kwa Liverpool katika dirisha hili baada ya kufanikiwa kuwanasa Naby Keita kutoka RB Leipzig, Xherdan Shaqiri kutoka Stoke na Fabinho kutoka Monaco. Dili la kumnasa Nabil Fekir kutoka Lyon lilikwama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji36][emoji36][emoji36]View attachment 814266
DuChristmas budget of a Slay Queen in Kenya.
1. Peruvian hair= 50,000
2. Shoes= 75,000
3. Clothes= 63,000
4. Inner wears= 10,000
5. Phone= iPhone 8
6. Makeup= 15,000
7. Fixing of cateyes= 12,000
8.watch = 10,000
9.jewelries= 16,000
10. Pocket money= 55,000
11. Human hair= 20,000
Total= KES 326,000
.
.
Source of Money
1. Peter womanizer= 30,000
2. Owino fundi= 15,000
3. Kiarie big head= 25,000
4. Kareithi mouth odour= 10,000
5. Vincent married man= 40,000
6. Paul big belle= 15,000
7. James driver = 10,000
8. Boy friend= 5,000
9. Mumu 5= 30,000
10. Ebuka Facebook= 10,000
11. Emma church= 15,000
12. Michel neigbhour= 10,000
13. Philip course mate= 3000
14. Pastor Eldoret= iphone 8
15. David village = 20,000
16. Jeff Facebook= 10,000
17. Frank Msa= 15,000
18. Donalex Facebook= 15,000
19. Wafula hard face=10,000
20. Mutua stingy man= 4500
21. Paul k leg= 20,000
Hustling starts December 1st.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakijibu nitag[emoji23]View attachment 814295
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee
Am fain anko,long laivu uzi wa likes na memba wake woooteeee.
Mambo ni full kama uniq hapaView attachment 814296
Hahahaha hatari sana[emoji23][emoji23]View attachment 814297
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi : Hi love [emoji177]
Yeye: Nambie mume [emoji8]
Mimi: Daah siko poa mke [emoji28]
Yeye: Nini tatizo jomonii [emoji9]
Mimi: Si unajua tuna siku mbili hatujaonana [emoji25]
Yeye: Jamani kwa hiyo umenimis mume [emoji3]
Mimi: Saana mke wangu [emoji18]
Yeye: Uko wapi mda huu [emoji780]
Mimi: Nipo home leo off
Yeye: Basi napita hapo naenda sokoni ila sitakaa
Mimi: Karibu sana mpenzi
Yeye: Lakini hatufanyi chochote sawa
Mimi: Sawa [emoji57][emoji57]
Baada ya nusu saa kafika kaingia ndani nimefunga geto.
Yeye: Jamani ndio hujafanya hata usafi?
Mimi: Siko poa leo mke
Yeye: Ngoja nikufanyie usafi niwahi sokoni
Kafagia, kadeki,kapika chai yupo nje anafua. Mi namuwekea tu nyimbo anazopenda akiingia ndani namkonyeza namkazia jicho. Kamaliza kakuta nimeandaa chai naanza kumnywesha chai naye ananinywesha tunachekeana. Muda unaenda hasemi kwenda sokoni. Tumemaliza chai najilaza kitandani naye anakuja pembeni yangu.
Mengine jiongeze mwenyewe ila sikumbuki kabisa kama kwao walikula siku hiyo.
AKILI ZA USIKU.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Morning my dearHahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salaam mkuuJumapili