Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Hakuna MC wa Kike atakae kuja kutsha kama Lil Kim mzee,, msikilize kwenye kundi la Junior Mafia wakiwa na kina Big,, ngoma ile inaitwa Get Money,, hatari mkuuMrembo yule,ni hatari Kuliko hata Hatari yenyewe,infact namzimikia kinoma noma.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji122] [emoji122]Hakuna MC wa Kike atakae kuja kutsha kama Lil Kim mzee,, msikilize kwenye kundi la Junior Mafia wakiwa na kina Big,, ngoma ile inaitwa Get Money,, hatari mkuu
1) Deep Condition – fanyia deep condition mara kwa mara hii itasaidia kurainisha nywele zako na kuipa nywele afya, wakati una fanyia deep condition ni vizuri ukaosha nywele na maji ya baridi na pia usikae kwenye moto, paka condition yako funga mfuko wa plastic na taulo juu kaa nalo kwa nusu saa osha.
3) Kata ncha- Kukata ncha kunasaidia ukuaji wa nywele pia husaidia kujaza nywele.