Safi dadaa, za kwakoHabari ya leo kakake
Naanza kumuogopa kila mtu humu.....Mmmmmmhhh! [emoji23][emoji23][emoji38]..AISEE![emoji16][emoji16][emoji16]umenishinda tabia
Bora kubaki huku na story zetu za mifenesi tu kwakweli,jf ni kichaka kikubwa sana
Mazoea mabaya sana aisee
Salama kabisaSafi dadaa, za kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah carbaJohari kavaa miwani kama jambazi la bongomovie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Naanza kumuogopa kila mtu humu.....Mmmmmmhhh! [emoji23][emoji23][emoji38]..AISEE!
Kwani kuna nini huko kwenye mabuyu yenu mbona mnaanza kujihami kwa uoga[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naanza kumuogopa kila mtu humu.....Mmmmmmhhh! [emoji23][emoji23][emoji38]..AISEE!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah carba
Bongomovie wale hawana pa kufananishwa aisee,jini anavuka barabara anatizama kushoto na kulia au kama hv
View attachment 816050
Ndiyo maana siku tukilazimika kuweka picha halisi na majina halisi jf itatikisika sana, maana kuna vitu mtavikosa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naanza kumuogopa kila mtu humu.....Mmmmmmhhh! [emoji23][emoji23][emoji38]..AISEE!
Hujambo mrembo habari za masikuBora hata umejileta, mie mwenyewe nakutafuta balaa.
Habari za siku nyingi lkn.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chama cha kutetea vimbaumbau[emoji123][emoji123][emoji123][emoji2][emoji2][emoji2]