mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ujana maji ya moto lazima utumie vizuri unaweza fika kwa sir God ukakosa majibu ulitumia vipi dhana yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sawa mkuu, we jiliage tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwalimu mbona umejbu kwa simanzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23], Simanzi litoke wapi??? We nawe acha uchochezi[emoji276][emoji38][emoji38][emoji23]
Wasanii wetu huwa wanawaza pesa tu, kufikiria ubora wa kazi wanaona ni mambo ya kucheleweshana[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndiyo maana hata soko lao la ndani tu linalega lega[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa wana masihara sana,, jamaa kalegeza na jicho kabsa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kujfunza jirani tu hapo Kenya wameshindwa kabsa,,wenzao wako real sana kwenye kuact
Kabsa mkuu!! Ukizama Deep sana hz dini unaweza potezea kabsa,,, ndio maana kwangu mm naona dini ni imani yako aiseeMizimu inaishi mkuu na inafanya kazi
Kwa hali hyo lazma wapate tabu sana!! Soko la movie halitaki janja janja [emoji23][emoji23]Wasanii wetu huwa wanawaza pesa tu, kufikiria ubora wa kazi wanaona ni mambo ya kucheleweshana[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndiyo hata soko la ndani tu linalega lega
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa mwalimu
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
True mkuu kuna mengi sana ya kujifunza kila siku mada hii ni ndefu sana wacha tuiachie hapaKabsa mkuu!! Ukizama Deep sana hz dini unaweza potezea kabsa,,, ndio maana kwangu mm naona dini ni imani yako aisee
Kabsa mkuu!! Ukizama Deep sana hz dini unaweza potezea kabsa,,, ndio maana kwangu mm naona dini ni imani yako aisee
Ningendako ana masihara ya ajabu sana[emoji38][emoji23][emoji23]..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa jamaa hawajiongeziKwa hali hyo lazma wapate tabu sana!! Soko la movie halitaki janja janja [emoji23][emoji23]
Nishasema we jiliage tu..Faudu[emoji23][emoji23]Ujana maji ya moto lazima utumie vizuri unaweza fika kwa sir God ukakosa majibu ulitumia vipi dhana yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna zile movie zao za mwanzo kabisa enzi za Musa Banzi, sijui walikuwa wanawaiga wahindi,, nao bize kukimbizana michangani[emoji23][emoji38]....Halafu kila movie ilikuwa lazima kuwe na mhusika acheze nafasi ya jini....Hawa jamaa hawajiongezi