mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AmenYeremia 29:11-12
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
Wafilipi 4:6-7
Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
7 Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
2 Wathesalonike 3:16
Sasa, Bwana wa amani mwenyewe na awape amani daima kwa njia zote. Bwana awe pamoja nanyi nyote.
NAWATAKIA JUMATATU NJEMA[emoji113][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpenzi wa zamani X
Bomoa Bomoa. X
Picha za ngono. X
Kwema bro
Mzee wa Twitter katika ubora wake
17:5314:01
Hahahahahaila kwa Putin masikio yako chini kama sungura....
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu habari za jumatatuJamaniii...
Waoaji wachache kuliko waolewaji - statistikale [emoji16][emoji16][emoji16]
Hi familia sijui mkosi ama niniAnother son of RFK dies in tragic ski accident
Another son of the late Robert F. Kennedy, Michael Kennedy, died in a ski accident in Aspen, Colorado, on New Year's Eve, 1997. The New York Times reported he was tossing a football with relatives while skiing down a mountain. The father of three was 39.
17:5815:33
Monday intro
Tumekwisha poapoleni wakulima wote
Cc uniqpoleni wa kusoma wote