Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukistaajabu ya Musa !! Utayaona ya Filauni!!!

Pichani, huko Marekani kwasasa kumeibuka style mpya ya mazishi yaani "video game staged funerals" !.

Mtu akifariki hasa kijana wana stage up mazishi yake.

Mfano huyo kijana pichani amefariki, lakini amevalishwa nguo zake alizokuwa akizipenda, miwani na kuwekwa kwenye kochi akionekana anacheza game ili kuwakumbusha na kuwafariji waombolezaji kwenye kuhusu maisha ya aliyefariki kuwapunguzia Uchungu !!

Nini maoni yako
 
Ukistajabu ya Mussa ,Ya Firauni hutayaona
 
Wanamuweka hvo kwa muda gani
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…