Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika Maisha:
1. Kama mwili wako umeuvisha nguo;
2. Kama una chakula umekihifadhi cha kutumia kesho;
3. Kama unapo mahala pa kulala;

Basi wewe ni tajiri kuliko asilimia 75 ya watu wote duniani.

1. Kama una akiba ya pesa kwenye pochi (wallet);
2. Kama unaweza kusafiri popote unapotaka;
3. Kama unamudu gharama za kujitibu magonjwa yatuzungukayo (Tezi dume, nk);

Basi nawe ni miongoni mwa asilimia 18% ya wanaomiliki ukwasi mkubwa duniani.

1. Kama uko hai leo;
2 Kama mwili umejawa na afya kuliko maradhi;

Basi umebarikiwa zaidi ya mamilioni ya watu, ambao maradhi yamewashambulia na kuwapokonya uhai wao leo.

1. Na, kama umeweza japo tu "KUSOMA" ujumbe huu;

Basi umewazidi bahati watu zaidi ya bilioni tatu duniani, wasioweza kuona, kusoma au japo kupata tu muda na uhuru wa kusoma mtamdaoni.

MAISHA si tu kulalamikia huzuni na machungu unayokutanana nayo, bali ni kuzikumbuka zaidi ya sababu milioni za kumshukuru Muumba.
[emoji818][emoji818][emoji818]
 
FB_IMG_1532421025299.jpg
 
Maswali mengi yameachwa bila majibu baada ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Dar es Salaam Lazaro Mambosasa, kutoa taarifa kuwa maafisa wa polisi ambao walikuwa wakishikiliwa kwa shutuma za mauaji ya mwanafunzi Akwilina Akwiline, wameachiwa huru.
 
''Hivyo ndivyo ilivyo Baada ya upelelezi, jalada lilikwenda kwa mwanasheria naye amerudisha na maelekezo hayo kuwa ushahidi ni hafifu, hizi ni taratibu za kawaida nchini kwetu wanaoshangaa labda ni hao walio nje ya nchi yetu'' Alieleza kamanda Mambosasa alipozungumza na BBC.
 
Back
Top Bottom