Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mume alikuwa anampiga mkewe! jirani akaja kuamua:-
Jirani: Mke hapigwi jirani!!
Mke: Mume wangu msikilize jirani anavyokwambia!
Mume: Ni mjeuri huyu nimfanyeje kama hapigwi?
Jirani: Dawa yake unaoa mke mwengine tu!
Mke: Nyooo Hasidi weee! NIPIGE MUME WANGU USIMSIKILIZE JIRANI..! NIPIGE NIKOME MAANA MIMI WAKATI mwingine SINA ADABU
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha
 
EA7A9A3B-1A35-4FCE-9C3B-FAFF3B845A30.jpeg
 
UBISHI SI MZURI!
Waziri wa Mifugo katembelea mradi wa NYUKI, alipofika getini Mlinzi akamwambia haruhusiwi mtu kuingia kwa sasa!
Waziri kwa hasira akamjibu Mlinzi kwani hujui mimi ni nani huku akimwonesha kitambulisho!
Mlinzi kwa utii, akamwambia haya ingia muheshimiwa!
Baada ya muda mfupi, Waziri alisikika akiita Mlinzi, Mlinzi NYUKI wamenivamia-Mlinzi AKAJIBU waoneshe kitambulisho huenda HAWAKUJUI WEWE NI NANI?!

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1426][emoji1426] hii nimeipenda sana
Hahahaha
 
Usipopangilia masaa yako vizuri , hutaweza kupunguza uzito ulionao. Dawa kubwa ya kupunguza uzito wako ni kujua kutumia muda wako vizuri. Usiwe mtu wa kukaa muda mrefu bila ya kufanya kitu chochote. Anza leo kupunguza muda wa kukaa kijiweni kuongea habari za mpira, acha kukaa barazani kuongea umbea, acha kukaa kwenye Tv muda mrefu kutazama movies. Badala yake soma vitabu, nenda kwenye seminar mbalimbali, tafuta makala nzuri jifunze kupigana na ujinga. Acha kupigana na umaskini. Hutaweza kusikia njaa hovyo hovyo kama utafanya hivi vitu .
 
Tafuta picha ambayo unatamani uwe kama hio. au mtafute mtu akuchoree picha ya umbo unalolitaka , halafu tundika juu, mahali ambapo kila wakati utakuwa unaangalia hio picha, Na ndivyo utakavyokuwa. Haijalishi uko umri gani, hakuna kisichowezekana. Jump anza kuondoa uzito ulionao kwa kutumia njia hizo zote nilizokupa. Fanya kwa imani bila ya kuwa na shaka wala hofu . jiwekee malengo.
 
Nina maana gani hasa katika kukuambia hivyo. Bila ya kutumia Muda vizuri , utajikuta umebakiwa na muda wa kutibu magonjwa yasiopona kutokana na uzito ulionao. Lakini nina habari njema. Hata kama umefikia uzito ambao unakukatisha tamaa, usiogope. Rudi nyuma huko ulikoelekea umeenda mbali. Mrudie Mungu sawasawa. Acha dhambi.Kwa nini nasema hivyo, kwa sababu kama unafanya dhambi yoyote unayoijua , au kama unapenda kitu fulani na huwezi kuacha. hivyo vitu vinageuka na kuwa magonjwa.Ukiacha dhambi utakula vyakula vizuri. Utalala usingizi kama mtoto mdogo. wala hutalala masaa mengi, maana utaona unapoteza muda
 
Nina mengi ya kukuambia lakini najua wewe ni mvivu wa kusoma. ngoja niishie hapa . hata hivyo Mungu akukumbuke kwa kusoma kwako. Anza kumsuhukuru Mungu kila baada ya dakika 60. Mungu anapatikana mwanzo wa lisaa. Mkumbuke Mungu, Mshukuru Mungu, Msifu Mungu.Atakufanyia wepesi wa maamuzi yako.
 
Back
Top Bottom