Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Nimesikitishwa sana na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wa Chuo cha Usafirishaji (NIT). Natoa pole kwa familia,ndugu,wanafunzi wa NIT na wote walioguswa na msiba huu. Nimeviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha tukio hili," Rais Magufuli aliandika kwenye mtandao wa Twitter.
 
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Babarani Tanzania, Fortunatus Muslimu amesema kuanzia Agosti Mosi, leseni za madereva wote nchini zitahakikiwa.

Amewaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa, uhakiki utaanzia kwa madereva wa magari ya abiria, watafuata wa mizigo, wa pikipiki, madereva wa magari binafsi na mwisho wa magari ya serikali.

Kwa mujibu wa Kamanda Muslimu, fomu za uhakiki huo zitasambazwa nchi nzima kwenye vituo vya mabasi, mizani na kwa matrafiki barabani.
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…