Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

90%[emoji818]
 
Ni vizuri kama utaanza kumtia mtu moyo kwa kujitamkia maneno mazuri na kujipongeza wenyewe wanapokuwa wamefanya kitu fulani kizuri. Aibu inaondoa heshima ya mtu. Inashusha hadhi ya mtu. Kwa hio jitahidi kuangalia ni aina gani ya aibu iliopo ndani yako . shughulikia mapema. inawezekana kuondoa. Habari njema ni kwamba kinyume cha aibu ni ujasiri.
 
Trump kaingizwa chaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeponya moyo wako kutokana na tabia zako zote, kiasi cha nguvu zako ziko vizuri. Mood yako, na digestion yako iko vizuri. Mahusiano yako yapo vizuri,Maisha yako yamejawa na ucheshi. Stress unaidhibiti kama kawaida. Ni kitu gani hasa kinaweza kukosekana?
 
Kama uko vizuri katika ufahamu wako, inaonyesha uko makini kwa kila unachokiingiza ndani ya mwili wako inapokuja suala la chakula.

Lakini unaweza kusema hivyo hivyo na katika virutubisho?

Huenda wewe unapenda kutumia virutubisho kama vya multivitamin, Vitamin D3, Omega-3s. Ni vema kufahamu ukweli.
 
Sio virutubisho vyote vimetengenezwa sawa.

Vimewekwa hivyo ili kufikiria viko vizuri. Tangu hivi virutubisho kuwepo kwa ajili ya kusaidia afya za watu, Mchanganyiko wake ni salama na wenye kiwango cha juu.

Kwa kuongezea hapo. Unafahamu hivyo virutubisho vimetengenezwa wapi?

Vilikotengenezewa ndio deal kubwa–hasa inapokuja Kudhibiti ubora wake na usalama. Una uhakika gani kama hivyo vimetoka katika mahali bora na salama kwa kusoma juu ya lable?
 
Ni kitu gani hasa huwa unakiangalia kwenye virutubisho? Ni vitu vingi ndio. Huenda kitu cha muhimu sana ni lable. Lakini virutubisho vizuri vinatakiwa visiwe na ladha tamu, au kuongezwa rangi. Kwa hio kwenye lable inatakiwa kuwepo vitu muhimu tu vinavyohitajika kwa mtumiaji sio ladha ya utamu. Kama utakachokiona kilichoandikwa kwenye lable ndicho ukikute ndani.
 
Sio virutubisho vyote vimetengenezwa sawa.

Vimewekwa hivyo ili kufikiria viko vizuri. Tangu hivi virutubisho kuwepo kwa ajili ya kusaidia afya za watu, Mchanganyiko wake ni salama na wenye kiwango cha juu.

Kwa kuongezea hapo. Unafahamu hivyo virutubisho vimetengenezwa wapi?

Vilikotengenezewa ndio deal kubwa–hasa inapokuja Kudhibiti ubora wake na usalama. Una uhakika gani kama hivyo vimetoka katika mahali bora na salama kwa kusoma juu ya lable?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…