Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwema sana mkuu wangu, nashukuru Mungu nimeamka vizuri
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Kumbu kumbu 23:14

Kwa kuwa BWANA Mungu wako, yuatembea katika kituo akuokoe, na kukutolea adui zako mbele yako; kwa hiyo na kiwe kitakatifu kituo chako; asije akaona kitu kwako kisichokuwa safi, akageuka na kukuacha.
 
Amina sana Mama Mputi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…