Hahahhahaha!Inawezekana idea yake ni nzuri sana,labda wanataka kujua kama kweli ulipitia mafunzo ya udereva na ukapata leseni ama wewe ulipata tu leseni sebleni kwa shemeji.
Anyway acha tuone wataishia wapi maana hii awamu hakuna matamko yanayofikiwa malengo,tunakurupuka tu.
Mimi mzima sana,habari ya kwako?
hahahaaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najaribu kuwaza tu[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
Tatizo wenzetu wa sekta binafsi wako vizuri kusimamia ila huku kwingine mmh!!Ni kweli kabsa,,,ngoja tuone mwisho wa hii sinema,,,
Kuna Private company flan hv,, wao kwenye suala zima la kudhibt ajari wako na sheria zao,, ni ngumu lkn zmepunguza ajari kwa kiasi flan,,
Mfano,, dereva aki overspeed akikamatwa anakatwa 150000 kwenye mshahara wake akirudia tena anakatwa 300000,kosa la tatu hana kazi,,, hvo hvo hata kwa abiria atakaekutwa Hajafunga mkanda(seatbelt)kosa la kwanza 150000,la pili 300000
Sheria hii imesaidia sana kupunguza ajari, sema hii kwa mtaani au serikalini ni ngumu kuapply!!!!
Aiseee,, mimi sijambo kabsa!!! Tunaitafuta jioni
Hahhahaha! Hao hao wanaodai si wabunifu ndio wanawafikisha hapo walipo...NyambafKwahiyo wife hana ubunifu ama??
Ujumbe umetulia huu,,, kuna watu wabishi sana
Kweli kabsa!!!Tatizo wenzetu wa sekta binafsi wako vizuri kusimamia ila huku kwingine mmh!!
Muda utasema ila wakisimamia vizuri na kuweka hili wazo lao vizuri labda watafanikiwa,tuwape muda.
Kwakweli jumatano inaishia taratibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhahaha! Hao hao wanaodai si wabunifu ndio wanawafikisha hapo walipo...Nyambaf
Nyumba ndogo kazi kumstarehesha tu..
Ee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo wife hana ubunifu ama??
Tatizo siasa nyingi.Tatizo wenzetu wa sekta binafsi wako vizuri kusimamia ila huku kwingine mmh!!
Muda utasema ila wakisimamia vizuri na kuweka hili wazo lao vizuri labda watafanikiwa,tuwape muda.
Kwakweli jumatano inaishia taratibu
Moto moto mchana raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mchana mchana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Mnaboa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh take Easy Pyaar,, Taratibu bhna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuweko,kazi kuisakahalafu ile picha sijui aliifuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]juzi hapa aliweka ile ya weed
Hahhahaha! Hao hao wanaodai si wabunifu ndio wanawafikisha hapo walipo...Nyambaf
Nyumba ndogo kazi kumstarehesha tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiran banampaka kupatwa kwa mwezi usiku..
mradi wewe na mumby mpo.
Shukrani na ikawe hivyo kwako pia[emoji120][emoji120][emoji120]Kweli kabsa!!!
Uwe na wakati mzuri hapo