Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

HALI tete pale Ujerumani. Matokeo yao mabaya Kombe la Dunia pale Russia hayajawahi kuwaacha salama. Bundi anaunguruma na sasa kiungo, Mesut Ozil ameachana na Timu ya Taifa ya Ujerumani huku akiwachana vibaya mabosi wa soka la Ujerumani.

Ozil ametoa shutuma kali kwa mabosi wa Shirikisho la soka la Ujerumani, DFB huku akiwashutumu kwa kumbagua na kumfanya kisingizio cha matokeo mabovu ya Ujerumani katika michuano ya Kombe la Dunia.
Racism
 
Wakati huohuo , wakati wa kupatwa kwa mwezi mnamo tarehe 27 Julai, mwezi utakuwa mbali na zaidi kutoka kwa ardhi.
 
Kupatwa kwa mwezi mnamo tarehe 27 Julai kutaonekana Ulaya, Afrika, mashariki ya kati , katikati mwa Asia na Australia ikiwa ni maeneo yote isipokuwa kaskazini mwa Marekani.
 
Back
Top Bottom