Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
446529917_215659.jpg
 
Kwa mfano kuwa na subira, kabla hujaanza kupata dawa, ni vizuri kwenda kucheki , hii ni sawa lakini kucheki wakati mwingine haizuii ugonjwa. Watu wengi wamekuwa katika hali ya kutaka kujua , na inasaidia sana kama ukiwahi kugundua tatizo. Lakini hali hio haizuii saratani inapoanza .
 
Kwa Hio Tunaepukaje Saratani?

Ni katika kubadilisha mtindo wa maisha. Ukichagua mtindo mzuri wa maisha utajilinda na ugonjwa wa saratani. Kujifunza kuwa na subira . Kumbuka ugonjwa hauji siku moja , ni kutokana na maisha yako uliyonayo. Ukibadilika utaboresha maisha yako ya kila siku.
 
Utafanyaje Kila Siku Kujilinda Na Saratani.

Kujilinda na saratani ,Kitu cha muhimu sana ni kujifunza hali yako ya mwili na mazoea uliyonayo. Sababu mbalimbali zinazosababisha, Mazingira, na maumbile.Kwa kuona hivyo, Utaweza kubadilisha mtindo wako wa maisha ambao utapunguza hatari ya kupata ugonjwa.
 
Back
Top Bottom