myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa...Mazoezi ya kutembea kwa muda wa dakika 45 ni mazuri. fanya mazoezi kila siku au kila baada ya siku moja ili kujiepusha na saratani. wakati huo huo zingatia kutumia vyakula kama dawa. kwa kufanya hivyo utajiboresha katika kila vipengele vya afya ya mwili wako.