Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.....
IMG-20180726-WA0009.jpg
 
Akisema hivi nitampenda!
Huyu mama ana fursa kubwa sana kuikosoa serikali, lakini atumie hekima na busara!
Mambo yake ya kupayuka aya ache kabisa!
Hapo atajijengea heshima nzuri!
Tena aanze na polisi kuingilia mahakama!
Maana huu mchezo lazima usimamishwe haraka sana!
Asitumie jazba!
Akae na mama samia afundwe!
 
Back
Top Bottom