Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jua la asubuhi linaangazia misafara ya kimaisha
FB_IMG_1532630794770.jpg
 
Marko 11:24

Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.

Marko 9:23

Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye.

Yeremia 32:27

Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?

Mwanzo 18:14

14.Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.

Luka 1:36-37

Tena, tazama, jamaa yako Elisabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa;
37 kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana.

Zakaria 8:6

BWANA wa majeshi asema hivi, Ingawa hili ni neno lililo gumu mbele ya macho ya mabaki ya watu hawa katika siku hizo, je! Liwe neno gumu mbele ya macho yangu? Asema BWANA wa majeshi.

MKAWE NA IJUMAA NJEMA NA YENYE BARAKA TELE[emoji120][emoji120][emoji120].
 
Back
Top Bottom