hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
kumbe" moyo ," wangu " unapoongeza " mapigo", nakudunda dunda' kama vile nimemeza kisamvu mpira" wew unafurahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
kumbe" moyo ," wangu " unapoongeza " mapigo", nakudunda dunda' kama vile nimemeza kisamvu mpira" wew unafurahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Salaam mama mchungajiMarko 11:24
Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.
Marko 9:23
Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye.
Yeremia 32:27
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
Mwanzo 18:14
14.Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.
Luka 1:36-37
Tena, tazama, jamaa yako Elisabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa;
37 kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana.
Zakaria 8:6
BWANA wa majeshi asema hivi, Ingawa hili ni neno lililo gumu mbele ya macho ya mabaki ya watu hawa katika siku hizo, je! Liwe neno gumu mbele ya macho yangu? Asema BWANA wa majeshi.
MKAWE NA IJUMAA NJEMA NA YENYE BARAKA TELE[emoji120][emoji120][emoji120].
Kwema kabisa..Salaam mama mchungaji
Nashukuru mi mzima hofu kwako, vipi baridi pande hizoKwema kabisa..
Habari ya mwamko?
Baridi lipo, tunakomaa nalo.[emoji23]Nashukuru mi mzima hofu kwako, vipi baridi pande hizo
Ameeen1Wakorintho 10:23-24....
Vitu vyote ni halali, lakini si vitu vyote vilivyo na faida..Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinavyojenga.
Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe bali kila MTU atafute yale yanayowafaa wengine.
Amen[emoji120] [emoji120]
Good morning!!Morning My Good People
Good morning mkuu
Jambo Antarctica.Jambo Afrika