Swalama yakhee..Habari za asbh Watanzania
Nzuri kabisa mkuuHabari za kuamka wananchi
Morning mkuu
Amun RaMarko 11:24
Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.
Marko 9:23
Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye.
Yeremia 32:27
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
Mwanzo 18:14
14.Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.
Luka 1:36-37
Tena, tazama, jamaa yako Elisabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa;
37 kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana.
Zakaria 8:6
BWANA wa majeshi asema hivi, Ingawa hili ni neno lililo gumu mbele ya macho ya mabaki ya watu hawa katika siku hizo, je! Liwe neno gumu mbele ya macho yangu? Asema BWANA wa majeshi.
MKAWE NA IJUMAA NJEMA NA YENYE BARAKA TELE[emoji120][emoji120][emoji120].
Morning pyaar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Mkuu habari za asbhnaona " umeirejea" avatar " yko" ile", inanifnyaga nikupende"
Amen[emoji120]Marko 11:24
Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.
Marko 9:23
Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye.
Yeremia 32:27
Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
Mwanzo 18:14
14.Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA? Kwa muhula wake nitakurudia, wakati huu huu mwakani, na Sara atapata mwana wa kiume.
Luka 1:36-37
Tena, tazama, jamaa yako Elisabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa;
37 kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana.
Zakaria 8:6
BWANA wa majeshi asema hivi, Ingawa hili ni neno lililo gumu mbele ya macho ya mabaki ya watu hawa katika siku hizo, je! Liwe neno gumu mbele ya macho yangu? Asema BWANA wa majeshi.
MKAWE NA IJUMAA NJEMA NA YENYE BARAKA TELE[emoji120][emoji120][emoji120].
Amina1Wakorintho 10:23-24....
Vitu vyote ni halali, lakini si vitu vyote vilivyo na faida..Vitu vyote ni halali lakini si vyote vinavyojenga.
Mtu yeyote asitafute yaliyo yake mwenyewe bali kila MTU atafute yale yanayowafaa wengine.
G'morning mzee wa liver...Za mwamko?Morning pyaar
MorningMorning mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mwaka huu baridi si ya nchi hiiBaridi lipo, tunakomaa nalo.[emoji23]
Habari mkuuAmeeen
Morning uniq mambo vipi TA wanasemajeMorning My Good People
Good morning bro umeamka salamaAmen[emoji120] [emoji120]
Good morning brother...
MorningGood morning!!
Jambo AmericaJambo Antarctica.
Habari kiongoziAmen[emoji120]
Vivyo hivyo ikawe na kwako pia
Hahahaha! Acha kabisa, linapuliza.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mwaka huu baridi si ya nchi hii
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120],Amen[emoji120]
Vivyo hivyo ikawe na kwako pia