myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
siku inaelekea jioni
Usiwe na shaka. Mi na Numby tutakupeleka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mie sijawahi bwana.
Trump ana kifaa. Na huyo rais wa Ufaransa naye ana kifaa. Ni kila mtu na utamu wake [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 820192
Ndo shida za kutawaliwa na kichwa kidogo. Unaharibu maisha, legacy na kila kitu kisa mtelezesho. Hovyo kabisa !!!Hatari kabisa. View attachment 820166
Rais wa mioyoUlipo tupo
Sawa, haina neno[emoji23]Usiwe na shaka. Mi na Numby tutakupeleka [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa fenesi hili hakuna cha shombo wala nini. Hata likikitwa tu na kuachwamo likitwita twita na kukububujisha utomvu yatosha. Utahenya na kujisokota sokota kama mnyoo uliokaukiwa na tope. Jiandae kisaikolojia [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Akha! Unitie shombo[emoji23]
Ubaya huwa mkifika kwenye mambo siriazi mnaanza kuongea kilugha ili tusielewe .Atakuthibitishia Andjul
Hapo ndo penye tatizo.Ujumbe mzuri.
Utekelezaji wake sasa....
Shwainiii kabisaNdo shida za kutawaliwa na kichwa kidogo. Unaharibu maisha, legacy na kila kitu kisa mtelezesho. Hovyo kabisa !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Trump ana kifaa. Na huyo rais wa Ufaransa naye ana kifaa. Ni kila mtu na utamu wake [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mzee Ruta leo alikuja?Nimebaki peke yangu kwenye uzi huu baada ya Ruta na ho chi minh kuondoka... Niite babu usiogope[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23], jamaniiiiii...wapi tumeongea kilugha??Ubaya huwa mkifika kwenye mambo siriazi mnaanza kuongea kilugha ili tusielewe .