Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
duh!! hatariii
Hakuna haki hapa duniani jirani. Na usiombe ukiletewa hii "demokrasia" kwa nguvu.ndio ushetani huo wa kujaribia silaha kwa binadamu
Ubaya wako unabadilika badilika sana. Sina cha kukudadavulia. Subiri mzee wa Kikinga aje [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu dandavua hapo sijakuelewa! Kama ni UGUMU mbona hilo joho bado sijalivua? [emoji1][emoji1]