Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Here we go !!!
Gr8 kwa kweli
Wanawaza kutoza hela tu hawalipi matunzo eneo zimaSiku hizi limechafuka. Sijui hawalisafishi...
Ukijibiwa nami nishtue kamanda. Nina shida pia !Okay, nauliza tu 'eti kwa mfano nikikutaka PM' nafanyaje.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ee unaambiwa nyoosha mkono ili picha itokee kama umeshika samak[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mkaenda kuzindua
Duh kaaazi kweli kweli!Okay, nauliza tu 'eti kwa mfano nikikutaka PM' nafanyaje.?
Nitaku pm!Ukijibiwa nami nishtue kamanda. Nina shida pia !
January nilipitapo. Mazingira yake sikuyapenda nikaamua kwenda zangu ziwani kulee kushangaa feri za Kamanga. Nikafaudu na samaki wa mama lishe na mihogo ya kuchoma. Wakati huo namtafuta bageshi lakini akanichunia hapa JF. Shwaini kabisa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wataka ukapige picha kwa mara nyingine tena?
Asante sisNitaku pm!
Ukijibiwa nami nishtue kamanda. Nina shida pia !
KaribuAsante sis
Khaa!Msichana ukifika miaka 18 jitahidi kuepuka kutoa salamu ya shkamoo