Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

January nilipitapo. Mazingira yake sikuyapenda nikaamua kwenda zangu ziwani kulee kushangaa feri za Kamanga. Nikafaudu na samaki wa mama lishe na mihogo ya kuchoma. Wakati huo namtafuta bageshi lakini akanichunia hapa JF. Shwaini kabisa [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bana
 
emoji23.png
emoji23.png
sister.??
Yes. She is my sis...

Why are you surprised bro?
 
Mchanganyiko wa mboga na matunda kwa ajili ya juice, ni lishe yenye afya nzuri, Juice ya matunda inasafisha mfumo mzima wa mwili wa mwanadamu, wakati juice ya mboga inajenga mwili.
 
Kwa kuongezea hapo, inaondoa na kusafisha sumu zote mwilini. Kutokana na mtindo wa maisha tulionao siku hizi, milo yetu inaharibu afya na jinsi tunavyojisikia.Kutumia natural fresh juice ni moja ya njia bora ya kuendeleza na kutunza afya yako na kuwa na umbo zuri
 
Napenda kutumia juice katikati ya kila mlo, mchana na jioni, kwa sababu inanifanya nijisikie vizuri na kuniwezesha nisile vyakula vingine ambavyo sio vya afya. Sipendi kununua juice zingine kwa sababu zimeongezwa sukari, ladha na rangi ya chakula. ni vizuri kutumia juice yako mwenyewe, ambayo unatengeneza wakati huo huo .
 
Kwa Nini Ni Vizuri Kuchanganya Juice Ya Matunda Na Mboga badala ya kula kila kimoja tofauti?

Kuchanganya pamoja matunda na mboga inasaidia kuwa na mkusanyiko wa nutrients za kutosha kwa wakati mmoja, kwa sababu hutaweza kupata kiasi hiki kila mara unapotumia kwa kula kimoja kimoja. utakuwa mwenye afya nzuri unapotumia hivi vitu kwa pamoja.
 
Kuchuja Juice Au kutochuja Juice?

Baadhi ya watu hupenda kuchuja juice na kuondoa kamba kamba zilizopo kwenye juice, lakini wataalamu wanasema sio vizuri kuchuja, kwa sababu hizo nyuzi nyuzi ni za muhimu kwenye mwili, zinasaidia kupunguza uzito, kazi ya tumbo, na kusaidia kupata haja kubwa bila tatizo. kwa hio usichuje.
 
Back
Top Bottom