mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HatariMwenye mayai naye avunjiwe[emoji3] [emoji3] [emoji3]
HatariMwenye mayai naye avunjiwe[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unasema!!!!!Mwenye konokono ale[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tunaenda nalo sambambaMsisahau tukio la kupatwa kwa mwezi leo usiku
Kabisa mkuu nakuonga mguu asilimia zoteHivyo ni vyakula muhimu kwenye mazingira ya baridi kama haya[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wapi hiyo Dada mtu? Kule kule ama..
SawaView attachment 820410kupatwa kwa mwezi Leo usiku kwa Tanzania ni kuamzia saa nne usiku
Nipo singidani huku hatari si la nchi hii blanket chapa mtu muhimu sana[emoji5]Tafuta kitumbua ule, upoze kibaridi kikali cha Dom [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Aseee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wapi manji?Maajabu yanazidi kuendele kutokea *DUNIANI*
MWIZI kaiba *VIBANIO* kaacha *JEZI* ya *_YANGA_*
🤣🤣🤣
Sijui mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aseee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wapi manji?
Inashangaza, kila nikitaka kununua asali huwa najiuliza na kuogopa kilichokuwamo kabla[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi nani aliwaambia watanzania kuwa chupa za konyagi ndo ziwe zakuuzia asali.
Cc pyaar
Agombee urais wa Yanga afanye mageuzi, maneno matupu nje ya uringo ni kazi bureLeodgar Tenga kuhusu wachezaji wa kigeni. " Watu wanajiuliza kile wanacholipwa hawa wachezaji (wa kigeni) kisingeweza kutumika vizuri zaidi kujenga misingi ya mpira?
Klabu inatumia Bilioni 1 kusajjili wachezaji je haiwezi kutumia Bilioni 1 kujenga viwanja vya kuchezea mpira?" Leodgar Tenga Mwenyekiti BMT
Credit @oscaroscarjr
Mwendo wa vitambi tu hapo[emoji3] [emoji3] [emoji3]