Hope Huyu ni mnajimu wa kike
Nimesusa na kususa[emoji124][emoji124][emoji124]
Swallow what??
Swallow what??
Duuu, kumbe kaikosa shule!!! Asee. Asante soka maana vinginevyo..4. Didier Drogba
Drogba alizaliwa Abidjan, Ivory Coast na akiwa na umri wa miaka mitano alihamia Ufaransa na wazazi wake kwenda kuishi kwa mjomba wake, Michel Goba, aliyekuwa mwanasoka. Lakini ghafla
Drogba akakumbuka nyumbani, hivyo akarudi Abidjan baada ya miaka mitatu tu. Lakini, wazazi wake wote wawili wakapoteza kazi zao, hivyo Drogba ilibidi arudi tena kwa mjomba wake.
Hakupata nafasi ya kwenda shule, hivyo akajiunga moja kwa moja kwenye klabu ya Levallois
Future kids[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Historia hizi..Cristiano Ronaldo
Kwa upande wa Ronaldo, soka ndiyo ilikuwa shule yake na mechi kubwa ndiyo ilikuwa mitihani yake. Akiwa mtoto mdogo, Ronaldo alicheza soka la ridhaa kwenye timu ya Andorinha kuanzia 1992 hadi 1995.
Baba yake alikuwa mtunza vifaa wa timu hiyo na miaka miwili baadaye akaenda kuichezea Nacional. Mwaka 1997, akiwa na umri wa miaka 12, alikwenda kufanya majaribio kwa siku tatu kwenye klabu ya Sporting CP, ambayo ilimsainisha kwa ada ya Pauni 1,500. Alijaribu kuwa mwanafunzi wa shule, lakini alifukuzwa baada ya kumrushia kiti mwalimu.
Clinomania
[emoji30][emoji30]
Umri huo hujacheza show za kibabe? Siyo kweli bhana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijawahi.
Umri huo hujacheza show za kibabe? Siyo kweli bhana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijawahi.
Mkuu Gwazwat za masikuHabari yako Mhe. Naona umetuma ujumbe
Asee, maisha ya Dunia pindua pindua kama bundle ya voda[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Umekuwa kirejelewa cha uzembe ndugu yangu. Watu wamesahau kuwa wakati ule unazembeka ulikuwa memba wa CHACHAWA [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Picha la kihindi hilo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unaua watu kadhaa kisha unacharazwa vibao na demu wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Cheka tu mkuu urefushe umri[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimecheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mabinti wa Kizaramo hia ai kamu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 820452